Monday, August 8, 2011

WAZIRI WA ELIMU MH SHUKURU KAWAMBWA ATEMBELEA VIWANJA VYA NANENANE

Waziri wa Elimu mh.  Shukuru Kawambwa (kushoto) akiangalia jana maandishi maalum ya watu wenye ulemavu wa kutoona kutoka kwa Afisa Elimu Mwandamizi Msaidizi wa kitengo cha Elimu Maalum Wizara ya Elimu Amani Katembo(kulia) wakati alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code