Friday, August 19, 2011
WALIMBWENDE WANAOSHIRIKI KINYANGANYIRO CHA VODACOM MISS TANZANIA WALIPOTEMBELEA OFISI ZA VODACOM KANDA YA KASKAZINI
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzanzia 2011, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akiwapa maelezo mbalimbali kuhusiana na mitambo ya kurushia mawasiliano ya simu ya kampuni hiyo iliyopo mjini Arusha wakati warembo hao walipotembelea kituo hicho jana. Warembo hao wapo katika ziara ya kimafunzo na kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani Kanda ya Kaskazini.
Mkurugenzi Wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Akiendelea Kuwaelekeza walimbwende hao jinsi mitambo ya simu ya vodacom inavyofanya kazi na ndio Maana Simu za Vodacom Hazina Kwikwi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment