Tuesday, August 9, 2011

MH JANUARY MAKAMBA AIOMBA SERIKALI KUTOA TAMKO KUHUSU TATIZO LA UHABA WA MAFUTA

Mh January Makamba (Mbunge wa bumbuli) ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Nishati na Madini akitoa hoja bungeni leo na kuitaka Serikali kutoa tamko na mwongozo kutokana na tatizo la Mafuta nchini, ambapo takribani siku kadhaa sasa kumekuwa na tatiza la upatikanaji wa petroli uliosababishwa na vituo mbalimbali vya mafuta kugoma kutoa huduma hiyo.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code