Raisi Cristina Fernandez de Kirchner wa Argentina
Kwa mara ya kwanza nchini Argentina wanaenda kufanya uchaguzi wa awali wakupata wagombea kwa kila chama kucmchagua mgombea atakaye simama katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 23 October 2011,kama ilivyofanyika nchini Marekani,hofu kubwa imetanda kwa Raisi wa sasa Bi Christina Fernandez ambaye atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa miaka minne mingine
Raisi Christina Fernandez anahitaji 43% au angalau 40% na pointi 10 zaidi ya mpinzani wake wa karibu ili aweze kushinda katika uchaguzi mkuu utakao fanyika October mwaka huu.
No comments:
Post a Comment