Saturday, August 13, 2011

`WANANCHI WA CUBA WASHEREKEA "BIRTHDAY" FIDEL CASTRO KIMYA BILA MWENYEWE KUWAPO.

Wananchi wa cuba wakiwa wanafurahia sherehe ya kutimiza miaka 85 ya raisi wa zamani wa cuba Fidel castro katika uwanja wa karl marx huko Havan
Raisi Hugo Chavez wa Venezuela aliye jitangaza kuwa ni mfuasi namba moja wa wa sera za kimapinduzi ya kiujamaa ya Fidel Castro alituma ujumbe katika tweeter kwamba yupo jijini Havana akisherekea "Birthday" ya Fidel Castro,Raisi Hugo Chavez kwa sasa yupo mjini Havana akifanyiwa matibabu ya kansa.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code