Saturday, August 13, 2011

ROGER FEDERER ATOLEWA KATIKA MASHINDANO YA ROGER'S CUP NA TSONGO WA UFARANSA

Mchezaji Roger Federer ametolewa katika mashindano ya roger's cup baada ya kupoteza seti 7-6 4-6 6-1 kwa mchezaji namba 13 kwa ubora duniani toka ufaransa Jo-Wilfread Tsonga siku ya Alhamisi.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code