Monday, August 15, 2011
MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA NA BALOZI WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI JANA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Agot 15.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Agot 15
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,jana Agot 15. Kushoto ni msaidizi wa Balozi katika Shirika la maendeleo la Uingereza (DFID), Magdalena Banasiak. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment