Monday, August 22, 2011

WATOTO WA GADHAFI WAKO HURU

Watoto w Moarmmar Gadhaffi wako huru licha ya taarifa zilozotolewa na majeshi ya waasi na kuthibitishwa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai Hague, Saif al-Islam Gadhaf alionekaka Rox Hotel Tripoli leo asubuhi akiwa anasindikizwa na ulinzi wa askari wenye silaa, ambapo aliongea na ripota wa cnn Mathew Chance,na kueleza kuwa taarifa za yeye kukamatwa ilikuwa ni "danganya toto" ya majeshi ya waasi ili kuudanganya uma na kwamba yeye amekuwa akitembea na ulinzi wa wanajeshi yenye silaha kila wakati,pia alisema kuwa baba yake pamoja na ndugu zake wote wako salama huko Tripoli. Gadhafi ameiongoza Libya toka 1969, mapigana ya waasi zidi ya serikali yake alianza mnamo Februari, ambapo majeshi hayo ya waasi yamekuwa ya kisaidiwa na majeshi ya anga ya NATO kuto March chini ya agizo lililotilewa na UN la kulinda usalama wa Raia.
Source the cnn news

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code