Sunday, August 21, 2011

WATOTO WAWILI WA MOAMMAR GADHAFI WAKAMATA NA MAJESHI YA WAASI NCHINI LIBYA



Watoto wiwili wa Moammar Gadhafi, Saif al-Islam na Saadi Gadhafi wamekamatwa na majeshi ya upinzani Tripol nchini libya.
Ali Said katibu mkuu wa Benghazi-based Transitional National Council, alisema saif al-Islam ambaye ni kiongozi wa ngazi ya juu kabisa katika utawala wa Gadhafi amekamatwa,aliyasema hayo siku ya Jumapili.
Naye msemaji wa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai Florence Olara alithibitisha pia kwamba wamekamatwa,mahakama hiyo yenye makazi yake Hague ilishatoa hati ya kukamatwa kwa Saif al-Islam na Gadhafi pamoja na mjomba wake Abdullah al-Sanussi. Msemaji wa waasi Jumma Ibrahim alithibitisha hilo mapema jumatatu iliyopita kukamatwa kwa Saif al-Islam pamoja na mtoto mwingine wa kiongozi huyo anayeitwa Saadi Gadhafi.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code