Mechi ya kirafiki kati ya England na Nerthaland iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Wembley siku ya Jumatano imehairishwa kutokana na fujo zinazoendelea kwa siku ya tatu mfululizo katika jiji la London, mechi zingine kadhaa zimehairishwa kutokana na kuhofia usalama wa mashabiki
hostgator coupon code
No comments:
Post a Comment