U.N. imeitisha mazungumzo ya amani katka jamhuri mpya iliyoanzishwa yas Sudani ya Kusini baada ya mapigano yaliyopelekea takribani watu 600 kuuawa na takribani mifugo 26,000 kuibiwa.
Mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa U.N. Hilde.F.Johnson aliwasii kusitisha mapigano siku ya Jumatatu baada ya mapigano baina ya jamii za Murle na Lou Nuer katika jimbo la Jonglei kuuwa takribani watu 600 na wengine zaidi ya 750 kujeruhiwa, mapigano hayo yaliibuka mapema Alhamisi asubuhi na kuduma takribani kwa siku nzima.
.kwa msaada wa mtandao(cnn)
No comments:
Post a Comment