Monday, August 8, 2011

FERNANDO ALONSO AMEPANIA KUSHINDA KATIKA "FOMULA ONE WORLD CHAMPIONSHIP 2011"

Fernando Alonso ambaye amejiunga na timu ya Ferrari kutoka timu yake ya zamani Renault mwanzoni mwa msimu wa 2010, amepania kushinda mashindano ya Fomula One msimu huu, Alonso ambaye anashika nafasi ya nne mpaka sasa, ana point 89 nyuma ya Sebastian Vetel ambaye anaongoza katika nafasi ya kwanza mpaka sasa, ambaye pia ndiye bingwa wa sasa wa mashinadano ya mbio za "Fomula one".Alonso ambaye ni bingwa mara mbili wa mashindano ya Fomula One amesema , " inatubidi tushinde mizunguko mingi iwezekanavyo " alinukuliwa Alonso akiongea katika tovuti maalum ya Ferrari.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code