RAISI CRISTNA FERNANDEZ WA ARGENTINA AONGOZA MATOKEO YA AWALI YA UCHAGUZI WA WAGOMBEA URAISI
Katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa wagombea wa uraisi nchini Argentina mpaka Raisi Cristina Fernandez anaongoza,ikiwa ni 20% tu za kura zimeshahesabiwa, Crstina Fernandez ambaye ameiongoza Argentina toka 2007, tayari anaongoza kwa 49% akifuatiwa na Ricardo Alfonsin mwenye 13.3%, wakati Raisi wa zamani Bwana Eduardo Duhalde akiwa na 12.1% ya kura.
hostgator coupon code
No comments:
Post a Comment