Veanus ambaye ni mshindi mara 7 wa "Grand slam" amejitoa kwenye mashindano ya "Roger's cup" ambayo yatafanyika Toronto kutokana na kusumbuliwa na maradhi, Venus William alipangwa kucheza na Serb Ana Ivanovic katika raundi ya kwanza jumanne, lakini kwa sasa nafasi yake itachukuliwa na mchezaji toka china Zhang Shuai. Venus aliwaomba mashabiki wake radhi kwa kukosa mashindano hayo alipozungumza na tovuti inayoandaa mashindano Roger's cup.
No comments:
Post a Comment