Picha hii ilipigwa 12 August wakati wa mazishi ya waasi 5 waliofaliki katika mapigano ya kugombania mji wenye utajiri wa mafuta wa Brega (picha kwa hisani ya mtandao wa cnn)
Waasi nchini Libya wamesema kwamba wanazidi kupata nguvu katika mfululizo wa mashambulizi yanayoendelea nchini Libya katika maeneo yanayo tawaliwa na Moammar Gadhaf, milio ya risasi ilisikika katika al-zawiya ambapo waasi walivamia mji huo ambao uko 33 maili magharibi mwa Tripoli, Waasi walifanikiwa kufunga njia kuu inayokwenda tripoli ambapo mpaka sasa waasi wanashikiria 85% ya mji huo.
No comments:
Post a Comment