Sunday, August 14, 2011

MLIPUKO WA BOMU KWENYE HOTELI WAUA WATU 12 PAKISTANI JUMAPILI

< Mlipuko huo wa bomu ulitokea katika mji wa Dera Allah Yar, ulio kusini mwa Pakistani, tukio hilo limetokea wakati nchi hiyo ikiwa katika maadhimisho ya siku Uhuru.Bomu hilo lilikuwa limwetegwa ndani ya Hoteli iliyo katika jimbo la Balochistan ambalo ndilo jimbo kubwa kabisa nchini humo na linaloongoza kwa umaskini na idadi kubwa ya watu.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code