Saturday, August 20, 2011
SEMINA YA WABUNGE KUHUSU MADAWA YA KULEVYA YAFANYIKA JANA MJINI DODOMA
Baadhi ya Washiriki wa semina ya wabunge kuhusu madawa ya kulevya wakitazama baadhi ya madawa hayo wakati wa semina hiyo, kwenye ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma leo , Augost 20, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Lucy Nkuya akichangia jambo kuhusu biashara ya dawa za kulevyia katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa mjini Dodoma leo Picha na Margreth Kinabo -Maelezo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment