Warembo wakicheza na Nyoka wa kundi la Kundi la Wanne Star pamoja na wasanii wakundi hilo, wakati wa sherehe yao ya Family Day Jana, ambapo warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania walitembelewa na ndugu na jamaa zao kutoka sehemu mbalimbali, katika hoteli ya Girrafe iliyopo Mbezi pia walipata nafasi ya kucheza muziki na kundi la Wanne Star.Habari Kwa Hisani Ya John Badi - Daily Mitikasi Blogu
No comments:
Post a Comment