Monday, August 8, 2011

ARSENAL YAMSAJILI WINGA KIJANA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN KWA $ 24.5 MILLION TOKA KLABU YA SOUTHAMPTON.

Kwa mujibu wa tovuti ya cnn klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu uingeleza imefanikiwa kumpigisha saini winga machachari toka klabu ya southampton Alex Olade-Chamberlain mwenye umri wa miaka 17 kwa ada ya uamisho $24.5 million,akizunguamza katika website ya Arsenal, wenger alisema "tumefurahi kwamba alex ameamua kujiunga nasi" aliendele kusema "Alex ni kijana mwenye uchezaji wa kusisimua na wenye ubunifu na mashambulizi yenye kiwango bora"
            Oxlade-Chamberlain,ni mtoto wa winga wa kimataifa wa uingereza Mark chamberlain,amecheza michezo 34 na southamphon,na kufunga magoli 9 akiwa na timu hiyo na kuisaidia kupanda daraja toka daraja la tatu.

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code