RAISI WA SOMALIA ATEMBELEA TANZANIA KWA ZIARA YA SIKU MBILI
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea mgeni wake Raisi Sheikh Sharif wa Somalia katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Nyerere Dare-es-salaam leo, Raisi Sheikh Sharif atakuwa na ziara ya siku mbili jijini Dar-es-salaam
No comments:
Post a Comment