Waziri mkuu Mh Mizengo Pinda (katikati) akienda kuzindua majengo ya makazi medeli mjini Dodoma jana,(kushoto)ni mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la Taifa (NHC),bwana Nehemia Mchechu akifuatiwa na waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi Prof Anna Tibaijuka na spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Anne Makinda.
Waziri mkuu Mh mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa majengo ya makazi ya Medali mjini Dodoma jana (kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh prof.Anna Tibaijuka
Wananchi mbalimbali wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa n a Waziri mkuu katika uzinduzi wa ujenzi wa majengo ya makazi huko Medali mjini Dodoma Jana
No comments:
Post a Comment