Sunday, August 21, 2011
ANDY MURRAY AMFUNGA NOVAK DJOKOVIC KWA SETI 6-3
Mchezaji namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa tennis Novak Djokovic ambaye alikuwa majeruhi amefungwa na mchezaji namba moja kwa ubora katika tennis kwa Uingereza Andy Murray kwa seti 6-3, ambapo katika mchezo huo uliochezwa siku ya jumapili Djokovic alijitoa katika shindano hilo baada ya kupata maumivu ya bega, Andy Murray anakuwa mtu wa pili kumfunga bingwa huyo wa dunia katika michezo 59 aliyocheza kwa mwaka huu, mchezaji wa kwanza kumfunga alikuwa ni Roger Federer katika nusu fainali za French Open.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment