wananchi mbalimbali wakishuhudia tukio la kuungua kwa moto sopko la mwanjelwa |
Moto mkubwa ukiendelea kuwaka |
Baadhi ya mabanda sokono hapo tayari yameteketea kabisa na moto |
Kama kawaida kikosi cha zimamoto mbeya kimeendelea na maigizo yake ya kuja kwenye tukio na gari bovu hapa wanaonekana askari wa kikosi hicho wakibishana huku moto ukiendelea |
Kufa kufaana kibaka tayari ameshaiba huyooo anatimka |
Dada nae hayuko nyuma katika wizi keshachukua kapeti |
Umati wa watu ukiwa unaangalia soko linavyoteketea |
Mama huyu akilia kwa uchungu akiangalia duka lake likiteketea kwa moto Picha na habari kwa hisani ya mbeya yetu blog |
No comments:
Post a Comment