Katibu wa Halimashauri Kuu (NEC) ya
Chama Cha Mapinduzi, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akionesha gazeti
lililoandika habari alizosema ni za kupikwa zikimuhusiha yeye na kuwania Urais
kwa mwaka 2015, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es
Salaam jana
No comments:
Post a Comment