MKURUGENZI wa Uchaguzi jimbo la Igunga
Magayane Protace (kulia) akimkabidhi fomu za kuwania ubunge wa jimbo hilo,
mgombea mteule wa CCM Dk. Dalally Kafumu , jana. Wengine ni Katibu wa CCM wilaya
ya Igunga Neema Adamu na Msimamizi wa masuala ya uchaguzi wa CCM, Matson
Chizi.(Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment