Vodacom Miss Tanzania Sarha Israel (katikati) akiwa na mshindi wa pili Trecy Sospeta (kulia) na mshindi wa tatu Alexia William katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa katika ukumbi wa mlimani city Dar-es-salaam.
Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala akimvisha taji Miss Tanzania Vodacom 2011 Sarha Israel mara baada ya kutangazwa mshindi katika ukumbi wa Mlimani city.
No comments:
Post a Comment