Thursday, September 8, 2011

CHADEMA WAZINDUA KAMPENI IGUNGA



(Picha juu na chini)Wananchi wa wilaya ya Igunga wakiwa wanaandamana kuelekea kwenye uwanja wa Sokoine zilipofanyika kampeni za chama cha CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa ubunge unaoendelea katika jimbo hilo jana


Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa wilaya ya Igunga jana kaatika uzinduzi wa kampeni za chama hicho
 

Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akihutubia wananchi wa wilaya ya Igunga katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo za ubunge wilayani humo jana

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code