Waziri wa Nishati na Madini, William
Ngeleja (kulia), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Uagizaji
Mafuta leo asubuhi katika hoteli ya Morvernpick jijini Dar es Salaam. Ngeleja
alisema kuwa kamati hiyo inatarajiwa kuanza kazi mwishoni mwa mwaka huu na
alionya kuwa kampuni yoyote ya mafuta itakayokiuka kanuni za uagizaji wa pamoja
wa mafuta, itachukuliwa hatua kali za kisheria sambamba na kufutiwa leseni.
Picha na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment