Mwenyekiti wa Mbio za Mbuzi, Karen Stanley (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24 mwaka huu. Kulia
ni Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari ambaye benki yao ni mmoja wa wadhamini wa mbio hizo
ni Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari ambaye benki yao ni mmoja wa wadhamini wa mbio hizo
Meneja Chapa na Matngazo wa NBC, Arden Kitomari (kulia) akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana kuhusu wa udhamini wa benki hiyo iliyotoa shs milioni 12 kudhamini mashindano
ya mbio za mbuzi zinazotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24 mwaka huu. Kutoka kushoto ni Mwandaaji wa mbio hizo Vanessa Morgan na Mwenyekiti wa Kamati ya Mbio za Mbuzi, Karen Stanley
ya mbio za mbuzi zinazotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24 mwaka huu. Kutoka kushoto ni Mwandaaji wa mbio hizo Vanessa Morgan na Mwenyekiti wa Kamati ya Mbio za Mbuzi, Karen Stanley
.Meneja wa Shirika la Ndege la Uingereza (BA) nchini, Saada Juma (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu ushiriki wao katika mashindano ya mbio za mbuzi yanayozotarajiwa kufanyika jijini humo Septemba 24 mwaka huu. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mbio za Mbuzi, Karen Stanley na Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari ambaye benki yao imetoa shs milioni 12 kudhamini mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment