Man city imeweka wazi mpango wake wa kujenga uwanja mpya ambao utatumika kama chuo cha michezo kwa vijana hivi karibuni, Man city ilinunuliwa na bilionea wa Abu Dhabi Sheikh Mansour Bin Zayed Al Nahyan August 2008 na toka hapo amekuwa akiwekeza hela nyingi sana katika kuiinua timu hiyo.
Academy hiyo itakayo jengwa karibu na uwanja wao wa Etihad Stadium, itakuwa na viwanja 15 vya mpira na uwanja utaochukua watu 70,000 wakiwa wamekaa, pia complex hiyo itakuwa na vyumba vya kulala kwa timu 40 kwa wakati mmoja. stay tune for more detail
No comments:
Post a Comment