Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TAA) Suleiman .S,Suleiman (kushoto miwani) pamona na Mhandisi Mwandamizi wa Kampuni ya SINOHYDRO CORPORATION LTD Tawi la Afika Mashariki Qin Chao wakitiliana saini mikataba ya ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Kigoma, katika sherehe iliyofanyika jijini Dar es salaam Sept,15,2011 ikiwa katika muendelezo wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika sekta ya Uchukuzi, Sherehe hiyo pia imehudhuriwa na Uongozi wa Wizara ya Uchukuzi,Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO |
No comments:
Post a Comment