Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kushoto) akionyeshwa miche ya miti mbalimbali na Mwenyekiti wa Taasisi ya maendeleo ya vijana (UVIKIUTA) Ben Mongi, alipotembelea bustani ya kuzalisha maua na miche ya vijana hao na kuangalia shughuli mbalimbali za taasisi huko Mbagala-Chamazi Mkoani Dar es Salaam.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiwapa nasaha vijana wa UVIKIUTA huko Mbagala Charambe Wilaya Temeke Mkoa wa DSM leo alipowatembelea. (kushoto) Mwenyekiti wa UVIKIUTA, Ben Mongi.
Mama Salma, akiwa katika picha ya pamoja na vijana hao baada ya kumaliza shughuli ya kutembele na kukagua shughuli za maendeleo ya vijana hao.
No comments:
Post a Comment