Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete(Wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Taifa ya
Misaada Ya Kibanadamu Somalia muda mfupi baada ya kuizindua rasmi ikulu jijini
Dar es Salaam leo mchana.Wajumbe wa kamati hiyo ambayo jina lake rasmi ni Kamati
ya Okoa Maisha Somalia walimchagua Bwana Reginald Mengi(Watatu kushoto) kuwa
mwenyekiti.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bwana Haruna Zakharia, Said
Bakhresa,Reginald Mengi,Gulam Dewji na Balozi Said
Shamo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na
wajumbe wa kamati ya Okoa maisha Somalia muda mfupi baada ya kuizindua ikulu
jijini Dar Es Salaam leo jioni.Kutoka kushoto ni Said Bakhresa,Haruna
Zakharia,Mwenyekiti wa Kamati hiyo Reginald Mengi, Bwana Gulam Dewji na balozi
Said Shamo
|
No comments:
Post a Comment