Friday, September 2, 2011

Watanzania Pigieni Kura Nembo Ya Haki Za Binadamu



Katibu mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu zoezi la upigaji wa kura linaloendelea duniani kote kwa ajili ya kupata Nembo rasmi ya Haki za binadamu itakayotumika duniani. Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zilizoridhia mkataba wa kimataifa wa Haki za Binadamu inashiriki zoezi hilo kwa wananchi kupiga kura kuchagua nembo inayofaa kati ya kumi zilizopendekezwa kupitia mtandao wa www.humanrightslogo.net kabla ya tarehe 17 mwezi

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code