Sunday, August 14, 2011

WATU 18 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI NA LORI LINDI JANA




<b>Ajali hiyo iliyotokea jumapili huko lindi ilihusisha basi la Country Express na Lori, ambapo yaligongana uso kwa uso,Majeruhi walikimbizwa katika hospitali ya Lindi lakini kutokana na hali zao kuwa mbaya zaidi walihamishiwa hospiali ya Rufaa ya Nyagao (picha kwa hisani ya Michuzi Blog)

No comments:

Post a Comment

hostgator coupon code