Ule utata wa mchezaji Cesc Fabregas wa kuama toka Arsenal kwenda Barcelona sasa unakaribia kuisha ambapo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, akitarajiwa kijiunga na mabingwa hao wa ulaya mapema wiki ijayo.
Barcelona inakabiliwa na mechi dhidi ya mahasimu wao Real Madrid katika mashindano ya super cup siku ya Jumapili.
Fabregas alijiunga na Arsenal 2003 akitokea katika akademi maarufu ya vijana ya barca inayoitwa La Masia,na pia alikua katika kikosi kilichoisaidia klabu hiyo kuishinda Manchester United katika mashindano ya FA cup 2005.
Hata hivyo Arsen Wenger amesajili sura mpya katika kikosi chake ambao ni straika wa Ivory Coast kutoka klabu ya Lile na kijana Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Southampton na Carl Jenknson kutoka Charlton.

No comments:
Post a Comment